Friday, 19 November 2010
DAYS OF THE END OF TRAINING ON THE USE OF Internet
Last day of training on Internet Trainging For Journalist in Arusha we continue to get more insight on the network through the internet to know how to put pictures in the form of a blog and from comments in accordance with the image.
Today the leader who is the author of many days MAGGID built. He began to give us a brief history of his life through a is full of history and a true challenge model.
Initially we were informed by our local MISA Tan was the last day this will be the master for the subject of "blog". Where he has taught us about putting pictures in the blog as well as provide different views.
Indeed, for all five days these training days have been extremely valuable to us. For all we have learned is important for a journalist of this era of science and technology, especially to get more experience of using the network for understanding the various issues of National and International.
We are grateful to the organizers and leader MISA Tan Peik Johansson from Finland.
Call them the opportunity to have these often and by different authors as the information will be written and the ability and opportunity to help our country to be more competent writers.
God give them more out because we've learned a lot
Thank you very much.
End ... ... ... ... ... ... ... ... ... ..
Mtanzania wa kwanza kutoka gereza la Guantanamo Bay kushtakiwa katika mahakama ya kiraia nchini Marekani, amepatikana na hatia ya kula njama ya kushambulia kwa bomu mali ya taifa la Marekani.
Ahmed Khalfan Ghailani, raia wa Tanzania, alishtakiwa kwa kosa la kuhusika katika mashambulizi ya kundi la kigaidi la Al Qaeda, dhidi ya ubalozi wa Marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998.
Viongozi wa mashtaka wamesema Ahmed Ghailani, alichangia pakubwa katika maandalizi na mipango ya kundi la Al Qaeda ya kulipua balozi za marekani nchini Kenya na Tanzania; ambapo Watu 224 waliuawa kufuatia mashambulio hayo mawili.
Mahakama hiyo ilifahamishwa kuwa Ghailani alinunua mitungi ya gesi iliyotumika kulipua balozi hizo.
Ghailani alikuwa anakabiliwa na mashataka 281 zikiwemo mauaji na jaribio la kuua.
Hatahivyo, Mahakama hiyo ilimpata bw Ghailani na hatia moja pekee ya kupanga kuharibu mali na majengo ya serikali.
Ushahidi uliokuwa umewasilishwa mbele ya mahakama hiyo ya Marekani dhidi ya mshukiwa huyo zimekataliwa na mahakama kwa sababu zilikusanywa na maafisa wa ujasusi wa Marekani CIA, katika magereza yasiyo rasmi nje ya Marekani kwa njia isiyofaa.
Maafisa hao wa ujasusi wanadaiwa kutumia mbinu kali kumhoji mshukiwa huyo,ikiwemo kumtesa ili akiri mashtaka dhidi yake na pia atoe habari zaidi.
Uamuzi huo wa mahakama unaonekana kuwa pigo kubwa kwa utawala wa Rais Barack Obama, wa Marekani na ahadi yake ya kuwafungulia mashtaka washukiwa wote wa ugaidi wanaozuiliwa katika jela la Guantanamo Bay, katika mahakama ya kiraia.
Maafisa wa serikali ya Marekani sasa wanachunguza upya jinsi ya kuendeleza kesi za washukiwa hao wa kigaidi, na hivyo kumaanisha jela hilo la Guantanamo Bay, iliyoko Cuba huenda isifungwe hivi karibuni.