Friday, November 19, 2010

KITUO CHA BIASHARA DUNIANI (WTC);

KITUO CHA BIASHARA DUNIANI (WTC);

Kituo cha Biashara duniani WTC ni moja ya kituo kikubwa cha Kibiashara duniani chenye makao yake makuu Lower Manhattan mjini New York; ujenzi wake ni wa jumla ya ghorofa saba ambapo limejengwa mwaka 1985.

Mnamo Septemba 11, 2001 Kituo hicho cha Kibiashara kilifanyiwa mashambulizi ya kigaidi kwa kuvamiwa na kulipuliwa baada ya ndege tatu kugonga jengo hilo la Pentagon lililopo  mjini Arlington, Virginia, nje kidogo ya Washington.

Kituo hicho kiliungua kwa muda dakika 56 Mnara wa Kusini na kufuatiwa na nusu saaa nyingine baadaye kulipuliwa kwa mnara wa Kaskazini Tukio hilo lilisababisha vifo vya watu kadhaa

Baada ya miaka kadhaa kituo hicho kulipuliwa hivi karibuni kiongozi mmoja wa kidini alitaka kuchoma kitabu kitakatifu cha QURUAN baada ya kutokea mvutano baina ya viongozi wa thehebu hilo waliokuwa na dhamira ya kujenga kiituo maalumu katika eneo hilo.

Tukio hilo limeandika Historia duniani hasa katika masuala ya Ugaidi.

No comments:

Post a Comment